Wachezaji wa Liberia wamvamia mwamuzi Uganda

Wachezaji wa timu ya Liberia mamemvamia mwamuzi katika mchezo wao waliocheza na timu ya taifa ya Uganda juzi 8.June.2013.
Wachezaji hao wa Liberia walionekana kujawa jazba baada ya mwamuzi kupuliza kipenga cha mwisho na kuamua kumvamia mwamuzi huyo kutaka kumshambulia kwasababu ambazo hazikuweza kutambulika mapema.
Hata hivyo katika mchezo huo Uganda ilifanikiwa kuibuka na ushindi wa bao moja dhidi ya timu hiyo.