
The 2012 Summer Games, imefikia tamati usku wa jumapili huku ikisemaka kua ya kwanza kwa uzuri kuliko Olimpiki zote zilizo sha wahi tangulia.
Sherehe kubwa za ufungaji zimedfanyika huku kukiwa na mashamsham kila maeeneo ya sehemu za viwanja katika kijiji maalum kilicho husika na sherehe hizo ambaxzo hufanyika kila baada ya miaka miinne, ambapo hukusanya wanamichezo kutoka pande zote za dunia.
Imesemekana kua sherehe hizi ni zakwanza kufikiwa na mji wa London kuliko sherehe nyingine zote kuwahi kufanyika nchi hiyo.
International Olympic Committee President Jacques Rogge amenukuliwa akisema "These were happy and glorious Games,"